Mwenzangu sauti kama chura mxieew , anavyojikamua sasa, huko chumban cjui inakuwaje ndio maana Ana kimbiwa, mxieew
Sent from my iPhone using JamiiForums
Aaaah mxieew , wanazengo mmgoma kutoa kiki kwa wimbo wa hamisa , Ila aki Danga mnamchamba, akiimba pia mwasema hajui, mji mzito huu jaman looh , waja hamna jema
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unamgeuka tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] warumi bwanaMwenzangu sauti kama chura mxieew , anavyojikamua sasa, huko chumban cjui inakuwaje ndio maana Ana kimbiwa, mxieew
Sent from my iPhone using JamiiForums
Numbisaaa...!Pugi kipaji chake kudokoa mabwana wa wenzie, muziki aachie akina ruby
Numbisaaa...!
Jamani...taratibuuu!!Abeeee
Sawa Ni Fire!!!???Duh , hamisa naona kaanza kuiva, mwanzo nilikua simuelewi kabisa , Ila hii single yake mpya ya SAWA mmmh nandy na rubby wajipange, bidada anakuja vizuri, wasim understimate kabisa , hii nyimbo konki sana , yani tamu , ya kimahaba na sauti humu kajitahidi kutulia kwa kweli
Ni bora tu ukaroge upendwe na mashabiki uachane mambo ya kuroga diamond , yan wewe ni next level , wanaosubir ushuke watasubir, hongera sana hamisa , kipaji nimekielewa aiseh , yan dah, endelea kupiga kazi
Sent from my iPhone using JamiiForums
😂😂😂😂Mmh mbona wimbo mbaya??? Mi sijaupenda... Sasa mtu aniquote aone[emoji48]
"heart broken"
We binamu nakugawa bure.. [emoji3] [emoji3]Ndo raha ya umbea🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums