Hamisa Mobetto: Nilitundikwa mimba mara tatu na Diamond

Yule binti anampenda Diamond sana na bado anataka authibitishie umma kua aliweza kua nae saa nyingine hata shule hizi zinachangia labda wao kua vile yaani kuropoka kila kitu

Yan next time atakuja kutuambia had style walizofanya kumpata Dylan... she is too much

Mbona tanasha ambaye ni formal ex friend wa domo tena yeye walilea mimba wote na kuishi wote, mbona haropokag huu ungese? ,mind you alishakula kichambo Heavy cha kuitwa mchawi hadharan ye bado anakipeleka, umaskin mbaya sana
 

Anajiaribia Cv,yan anapenda sana kiki kupitia Diamond, akiitwa kwenye enterview tu kosa, ataelezewa Diamond mwanzo mwisho, ngoja siku domo amchambe hadharan ndo akome kumtaja taja hovyo mxieew.
 
Nashangaa hamtaji majizo utadhan watoto wote kazaa na domo. Tununu hajielewi kabisaa matusi yote yale bado anatamani kuitawala madale
Anajiaribia Cv,yan anapenda sana kiki kupitia Diamond, akiitwa kwenye enterview tu kosa, ataelezewa Diamond mwanzo mwisho, ngoja siku domo amchambe hadharan ndo akome kumtaja taja hovyo mxieew.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Leo nakubali hoja yako me bahati nzuri kwenye black naiita black na kwenye White naiita white kwenye Hili Hamisa mobetto kachemsha

Yuko radhi hajidhalilishe kisa aonekane na yeye alikua girlfriend wa domo

Kinachomuuma sana hamisa ni kutokua formal girfriend wa Diamond , yan anaumia sana yani , so she is trying so hard aonekane na yeye Alikua girlfriend
 
Hakuna kitu sikipendi kama kutoa siri za kwenye mahusiano yako , huyo hajitambui kwa hiyo kupachikwa mimbatatu zilienda wapi kama sio kuishia kuzitoa umeshaambiwa na mkwe usilazimishe ukoo kwa nguvu

sent from HUAWEI

Kinachomuuma ni Diamond kutomtambulisha kwa jamii as his girlfriend, so anajaribu kila hali aonekane alikua anadate na Diamond

Halafu raha ya mapenzi mwanaume ndo akuongelee wewe, mbona domo akienda enterview hana time na yeye, li hamisa linatia sana hasira,, imebak. Kidogo tu aseme had style walifanya wakamzaa Dylan
 
Hamisa ni mshamba Sana Period
 
Diamond Nyange kafanya hivyo kwa ZUCHU, kamtoa Bikra na mimba ila inasemekana mbili zote zimechoropolewa, vyanzo vya ndani kabisa vinasema hayo.
 
huyo hajitambui,fainali uzeeni,anaona sifa kutoa mimba
Hamisa yeye yupo na Zari tu,hata sielewi Zar alimfanya nini Hamisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…