Hamisa Mobetto yupo jukwaa bwana akimtazama Aziz Ki dhidi ya Tabora United

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Staa wa filamu na mfanyabiashara Hamisa Mobetto yupo Uwanja wa Azam Complex, aki-check mchezo wa Ligi Kuu kati ya Yanga na Tabora United kuanzia ulioanza saa 12:00 Jioni.

Soma Pia: Yanga SC 0 - 0 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,02
IMG_0587.jpeg

IMG_0588.jpeg
Picha: Mwanaspoti
 
Aziz Ki atakuwa anajuta kuzaliwa, yaani Hamisa ndiyo yupo hivi siku hizi? Watu walisema huyu demu anasaidiwa tu na makeups hana lolote.
 
Back
Top Bottom