Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mbona uso umevimba au ndio mama "K"Staa wa filamu na mfanyabiashara Hamisa Mobetto yupo Uwanja wa Azam Complex, aki-check mchezo wa Ligi Kuu kati ya Yanga na Tabora United kuanzia ulioanza saa 12:00 Jioni.
Soma Pia: Yanga SC 0 - 0 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,02
Picha: Mwanaspoti
Aziz Ki atakuwa anajuta kuzaliwa, yaani Hamisa ndiyo yupo hivi siku hizi? Watu walisema huyu demu anasaidiwa tu na makeups hana lolote.Staa wa filamu na mfanyabiashara Hamisa Mobetto yupo Uwanja wa Azam Complex, aki-check mchezo wa Ligi Kuu kati ya Yanga na Tabora United kuanzia ulioanza saa 12:00 Jioni.
Soma Pia: Yanga SC 0 - 0 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,02
Picha: Mwanaspoti
Wewe mwenye lolote leta picha Yako hapa tukuone.Aziz Ki atakuwa anajuta kuzaliwa, yaani Hamisa ndiyo yupo hivi siku hizi? Watu walisema huyu demu anasaidiwa tu na makeups hana lolote.
Kwani mlitegemea awe na ngozi ya Plastic au? Na yeye ni binadamu khaaaaa!!!!!Naona filter nehi babu ji, pisi haitetemeshi wala nn mbao nyiingi
SanaaaaBonge la gundu
Sitaki demu, nina mtu wangu tayariWewe mwenye lolote leta picha Yako hapa tukuone.
Mwenye Snap pamoja na Ai generated applixation watakuwa wametangulia hahahahAlieleta filta motoni.....
Kina macho kama vidonda
Yuko international levels sasa hivi hahaDangaj la kimataifa π
Ova
Mbona Siku Ile ya mwananchi day mlilipuka kwa shwangwe na nderemo alipotambulishwa....??Dangaj la kimataifa π
Ova