Hamisa na Majizzo warudiana

Hamisa na Majizzo warudiana

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ila huyu mwanamke anaona raha kuharibu mahusiano ya wenzio, kwa hiyo kutembea na Diamond ameona haimtoshi.

Sasa hivi nasikia wapo wote na mzazi mwenzie Majizo hata kwenye birthday ya mtoto wao Fantasy Hamisa alilala kwa Majizo mpaka asubuhi, sasa sijui kwanini wanafanya siri wakati wameshazaa na nasikia wanapenda sana kulala hotel ya Ramada, Hamisa anajificha mwenyewe akikiingia kama mchawi.

Na Majizzo mnafiki wakati analala na Hamisa anajifanya kumpost Lulu na kumsifia wakati nafsi inamsuta, wekeni tu mahusiano yenu hadharani mrudiane mlee mtoto wenu, tatizo wote mmekutana hamjatulia ndio maana mnaogopa kuweka wazi mahusiano yenu.
 
Ila huyu mwanamke shetani sana , anaona raha kuaribu mahusiano ya wenzio , kwa hiyo dyudyu ya diamond Akaona haimtoshi, sasa hvi nasikia wapo wote na mzazi mwenzie majizo hata kwenye birthday ya mtoto wao fantasy hamisa alilala kwa majizo mpaka asubuhi, sasa sijui kwa nini wanafanya siri wakati wameshazaa , na nasikia wanapenda sana kulala hotel ya ramada, ki hamisa kinajifichaga chenyewe kikiingia kama kichawi

Na majizzo mnafiki wakat analala na hamisa anajifanya kumpost lulu na kumsifia wakati nafsi inamsuta , wekeni tu mahusiano Yenu hadharani mrudiane mleee mtoto wenu , tatizo wote mmekutana malaya ndio maana mnaogopa kuweka Wazi mahusiano yenu mxiee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu katika ubora wakeee!

Wanapasha kiporoo!!!jamani mtu na mzazi mwenziwee!!

Ila hawa bongo celebrities wana mambo ya ajabu sana hivi kwa nini wanajidhalilisha

Ila punguza chuki kwa Hamisa kama mlishare?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

BTW nilikumisss
 
Lulu alikutwa na hirizi inapumua, dada zake Majizzo hawana hamu nae. Mjini mambo ni kushare, kwenye hii chain atakaegundulika na ngwengwe mbona patakua padogo.
Niliipata hii kaka haoni hasikii humuambii kitu!

Mjini kushea tuu!!wa kwako peke yako muumbe mwenyewe kama rahisi
 
Hamisa kaja duniani kwa ajili ya kuzaliana acha akitendee kazi kipochi manyoya chake
 
Ila huyu mwanamke shetani sana , anaona raha kuaribu mahusiano ya wenzio , kwa hiyo dyudyu ya diamond Akaona haimtoshi, sasa hvi nasikia wapo wote na mzazi mwenzie majizo hata kwenye birthday ya mtoto wao fantasy hamisa alilala kwa majizo mpaka asubuhi, sasa sijui kwa nini wanafanya siri wakati wameshazaa , na nasikia wanapenda sana kulala hotel ya ramada, ki hamisa kinajifichaga chenyewe kikiingia kama kichawi

Na majizzo mnafiki wakat analala na hamisa anajifanya kumpost lulu na kumsifia wakati nafsi inamsuta , wekeni tu mahusiano Yenu hadharani mrudiane mleee mtoto wenu , tatizo wote mmekutana malaya ndio maana mnaogopa kuweka Wazi mahusiano yenu mxiee
Hivi huyo Hamisa na Majizo ndiyo kina nani?
 
Lulu alikutwa na hirizi inapumua, dada zake Majizzo hawana hamu nae. Mjini mambo ni kushare, kwenye hii chain atakaegundulika na ngwengwe mbona patakua padogo.
eh eh kumbe mama nawe unayaweza ya mujini..natamanigi nikuone
 
Ila huyu mwanamke shetani sana , anaona raha kuaribu mahusiano ya wenzio , kwa hiyo dyudyu ya diamond Akaona haimtoshi, sasa hvi nasikia wapo wote na mzazi mwenzie majizo hata kwenye birthday ya mtoto wao fantasy hamisa alilala kwa majizo mpaka asubuhi, sasa sijui kwa nini wanafanya siri wakati wameshazaa , na nasikia wanapenda sana kulala hotel ya ramada, ki hamisa kinajifichaga chenyewe kikiingia kama kichawi

Na majizzo mnafiki wakat analala na hamisa anajifanya kumpost lulu na kumsifia wakati nafsi inamsuta , wekeni tu mahusiano Yenu hadharani mrudiane mleee mtoto wenu , tatizo wote mmekutana malaya ndio maana mnaogopa kuweka Wazi mahusiano yenu mxiee
Ha ha haaa si kwa machambo hayo..
 
Bora umerudi binamu hili jukwaa lilipooza kama mkojo wa paka.
 
Back
Top Bottom