Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Leo Maktaba imetembelewa na Hamisi Delgado rafiki yangu toka ujana wetu.
Yeye si mgeni hapa Maktaba ingawa kaondoka hapa nyumbani miaka mingi sana.
Lakini akija sharti aje kunikagua.
Leo katika mazungumzo kanikumbusha Harry Belafonte na Sidney Poitier walivyokuja Dar es Salaam mwaka wa 1973.
Picha hiyo hapo chini ni nyumbani kwa Hamza Aziz, siku alipowakaribisha Harry Belafonte na Sidney Poitier nyumbani kwake Mbezi Beach kwa chakula cha jioni kulia ni Ally Sykes akitambulishwa kwa watu hao maarufu.
View: https://youtu.be/o_fj_x3parw?si=8cIsK5YwEYDYoxce