Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Bagamoyo,Mzee Mohamed Said inabidi huyu Hamisi Delgado umfanyie mahojiano ya maisha yake na mapito sehemu mbalimbali ya dunia, hizi stories za mizunguko duniani ni muhimu WaTanzania kuzisikia na kuwatia hamu kuondoka kutafuta fursa duniania kote.
Na usiishie kwa kuanda mahojiano na Hamisi Delgado bali watu wengine wengi unaowafahamu wa diaspora hii pia ni sehemu ya historia inafaa kuwepo katika hili jukwaa la historia.