Pre GE2025 Hamisi Kigwangala akili kuna Upigaji wa kutisha awamu hii

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Watu huko CCM wameanza kufunguka, Kigwangala anakuambia kuna Viongozi wananunua majumba ya Dolla Million 6 kule Masaki ndani ya kipindi kifupi tangu wawe Viongozi.Hajawataja ni wakina nani hasa ila lazima watakuwa ndio wale wapambe wa Mama.

Hizi ni tuhuma nzito sana, ingawa CCM wote ni wale wale ila ukweli upo.

Samia anawaogopa Mafisadi kuliko anavyo ogopa kitu chochote kile, kwa sasa wanajipigia wanavyo taka, Viongozi wanajichotea pesa na Mama anawaogopa kwa kuhofia hawatamsaidia kwenye kampeni zijazo za Uraisi.

Kuna mdau aliniambia kuna Wazungu wake wanataka kuweka Hoteli Ngorongoro na Serengeti, wameombwa Dolla Million 1 ili wapewe vibali sasa Wazungu wa watu hawajazoea rushwa imebidi wa cancel biashara ya hoteli wasepe kwao. Hii ni wamekataa maana yake wengi inabidi watoe rushwa ndio wapewe vibali bya kujenga Hoteli Polini.

Then utasikia Raisi anafanya move ya kuvutia wataliiz how come anavutia watalii ilihali hapambani na watu kama hawa wanao kamwisha uwekezaji?

Ufisadi awamu hii umezid hata enzi za Kikwete, enzi za Wazee wa Vijisent, Watu wanajipigia sana ndio maana hata huko CCM ambao wako nje wameanza kulia lia ingawa hata wao wenyewe wangekuwa kwenye systeam wangepiga tu.

FB_IMG_1705259004628.jpg
 
Ukipata chance ya kupiga we piga. Wao wamepata chance hiyo wacha wapige.
Hii ni hatari sana ,Mfano TBS au TFDA wanachuka rushwa wana toa vibali kwa dawa ambazo ni hatari sana kwetu at the end tutakufa mapema tutaacha hizo nyumba.

kuna rushwa zinatuangamiza sisi,ndugu zetu na jamaaa zetu, sio mambo ya kushabikia kabisa
 
We hutaki kulamba asali?
Kila mtu apambane na hali yake
Lamba asali tulia
 
Hao mawaziri lazima wa kipara & co.
Kp mwenyewe, heller, pampas & co Limited.
 
Watu huko CCM wameanza kufunguka, Kigwangala anakuambia kuna Viongozi wananunua majumba ya Dolla Million 6 kule Masaki ndani ya kipindi kifupi tangu wawe Viongozi.Hajawataja ni wakina nani hasa ila lazima watakuwa ndio wale wapambe wa Mama.

Hizi ni tuhuma nzito sana, ingawa CCM wote ni wale wale ila ukweli upo.

Samia anawaogopa Mafisadi kuliko anavyo ogopa kitu chochote kile, kwa sasa wanajipigia wanavyo taka, Viongozi wanajichotea pesa na Mama anawaogopa kwa kuhofia hawatamsaidia kwenye kampeni zijazo za Uraisi.

Kuna mdau aliniambia kuna Wazungu wake wanataka kuweka Hoteli Ngorongoro na Serengeti, wameombwa Dolla Million 1 ili wapewe vibali sasa Wazungu wa watu hawajazoea rushwa imebidi wa cancel biashara ya hoteli wasepe kwao. Hii ni wamekataa maana yake wengi inabidi watoe rushwa ndio wapewe vibali bya kujenga Hoteli Polini.

Then utasikia Raisi anafanya move ya kuvutia wataliiz how come anavutia watalii ilihali hapambani na watu kama hawa wanao kamwisha uwekezaji?

Ufisadi awamu hii umezid hata enzi za Kikwete, enzi za Wazee wa Vijisent, Watu wanajipigia sana ndio maana hata huko CCM ambao wako nje wameanza kulia lia ingawa hata wao wenyewe wangekuwa kwenye systeam wangepiga tu.

Una uhakika "akili" ndiyo neno sahihi?

Au ndiyo shule za kusomea ujinga?
 
Kwa sababu yupo nje ya mfumo ndo anaongoa mbona ye kapiga maliasili
 
Hii ni hatari sana ,Mfano TBS au TFDA wanachuka rushwa wana toa vibali kwa dawa ambazo ni hatari sana kwetu at the end tutakufa mapema tutaacha hizo nyumba.

kuna rushwa zinatuangamiza sisi,ndugu zetu na jamaaa zetu, sio mambo ya kushabikia kabisa
Tangu nimekua humu Huwa hauandikagi vepour.....duu inasikitisha sanaaa
 
Back
Top Bottom