Hamisi Kilomoni alindwe

acha upumbavu na ujuha we gongowazi..hela ya usajili na mishahara aliyolipa moo kwa wachezaji na makocha hadi sasa ni thamani ya Yale majengo pale kkoo..mpira pesa na biashara skuiz..sisi tunataka ushindi na furaha basi ..
 
Sikiliza hoja zao kwanza,, ndpo useme mwekezaji Mo Dewji anafuata masharti ya mkataba wa uwekezaji Simba sports Club?
Kwa hiyo nyie watu wa Bi Hindu na Mzee Kilomoni mnaona mkataba wa MO unaharibu timu yenu? Au kwamba faida mnayopata sasa ingekuwa zaidi kama si MO? Kwamba timu yenu inashindwa kufanya vizuri kwa sababu ya MO? Kumbukeni akina Akilimali waliona Manji si kitu akajitoa na mmeona Yanga imebidi muibatize majina sijui omba omba lakini Yanga imepingana kiume. Lakini Pia mliwahi kulia sana na hali ilikuwa mbaya mpaka alipokuja MO. Msikimbilie ngojera za Hindu mtakuja kujuta kwa mpira wetu wa Tanzania ambao mashebiki hawawezi kuendesha timu
 
acha upumbavu na ujuha we gongowazi..hela ya usajili na mishahara aliyolipa moo kwa wachezaji na makocha hadi sasa ni thamani ya Yale majengo pale kkoo..mpira pesa na biashara skuiz..sisi tunataka ushindi na furaha basi ..
Mkataba wa uwekezaji Simba sports Club unauelewa? au Dada angu umbumbumbu unakusumbua....?

Elewa mashart au makubaliano yanasemaje...

Kweli Aden Rage hakukosea.
 
Masharti ya mkataba ndio muhimu...kafuatilie vizuri utajua issue ni nini?

Zingine mbwembwe tu...
 
alafu wale wazee si watendaji na hawana uwezo wa kifedha kuiwezesha timu kuwa sawa, pili mpira umebadilika unahitaji zaidi ya zaidi ya tunavyodhani
 
Mo mpaka hapo ameisha ipiga Simba bao coverage ya matangazo anayopata Ni kitonga tosha. Hiyo 20bn mbona haweki mezani. Sasa Mali wampe bure. Yeye aweke hela aendeshe biashara ya mpira Mali na jina vibaki vya wanachama. Makanjibahi sio watu wa kuamini hata kidogo.
acha upumbavu na ujuha we gongowazi..hela ya usajili na mishahara aliyolipa moo kwa wachezaji na makocha hadi sasa ni thamani ya Yale majengo pale kkoo..mpira pesa na biashara skuiz..sisi tunataka ushindi na furaha basi ..
 
Watu walimuita Manji Mkanjibahi mmeona kilitokea nini alipoondoka. Mliwahi kumwita Mkanjibahi Azim Dewji alipoondka mlioona matokeo yake. Tangu lini Akilimali, Bi Hindu, Sijui Kilomoni wakajua utawala wa timu. Mpira wanaujua kwa kelele na kusikilizwa na mashabiki wasiojua gharama za uendeshaji wa timu, utawala wala usajili una gharama gani
 
Mimi na wewe na wengine wengi tunakubaliana kimsingi, kwamba soka limebadilika lakini liendeshwe kisasa. Iwekwe misingi na mifumo mizuri ya win win situation. Angalia ulaya. Chelsea (jina) na miundombinu na haki nyingine nyingine wanachama wanaushawishi navyo. Biashara ya mpira asajiriwe Nani Nani aachwe , mishahara etc Ni ya abbromovich na co. Hapa mo analeta ujanja ujanja? 20 bn hiko wapi? Manji akuwa mmiliki alikuwa mdhamini/mfadhili na kiongozi mwenyekiti aliyechaguliwa na Wana yanga. Ulaya supporters clubs zina nguvu kwelikweli na zinaongozwa na type ya akina kilomoni na akilimali
 
Washabiki wangekuwa na nguvu basi mashabiki wa Arsenal wangekuwa walishawatimua viongozi na wamilki wa Arsenal zamani sana. Pesa baba ni kila kitu mashabiki wanabaki kushangilia wakiona timu yao inafanya kitu kizuri
 
Ndio hicho. Hawajui wachezaji wanalipwa na nani. Hawajui benchi la ufundi wanalipwa na nani?
kama ni rahisi Kuongoza timu wachukue wao.
Na kuhusu uwekezaji wa billion 20.moo nae anaangalia maslahi yake. Haiwezekani mtu aweke billion 20.na hajui zitarudi vipi huo ni uchizi.
Kikubwa wachezaji walipwe stahiki zao. Timu itulie.
Hawa wazee wa hizi timu wanajifanya wajuaji tim ikiwa vizur zikipitia kipind kigum umsikii kilomon wala bi hindu wao wanapenda ziwe na hali ngum tu
 
Washabiki wangekuwa na nguvu basi mashabiki wa Arsenal wangekuwa walishawatimua viongozi na wamilki wa Arsenal zamani sana. Pesa baba ni kila kitu mashabiki wanabaki kushangilia wakiona timu yao inafanya kitu kizuri
Hata huko arsenal mtu wawekezaji hawakuowa timu kiujanja ujanja. Anagalia uwekezaji wa kujenga uwanja mpya, kuendeleza uwanja wa zamani etc . Mo anafanya Nini? Anataka apewe bure
 
Huyu Kilomoni ndiye mwenye Simba SS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…