Hamisi Kilomoni kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje, Nchi kutikisika

Huyu mzee na waziri wa michezo wanataka kutuharibia Simba yetu.Hiyo njama haitawekana kabisa
 
[emoji23][emoji23] eti hon hamis kilomoni hahahaha nayeye skuizi anaitwa muheshimiwa alafu hata hiyo tangazo kaandikiwa na yanga
 
Hhhh.. episode kila genre..
Sports,action,music, adult,drama,yaani kila kitu.
 
Awagonge misumari ya moto au siyo?
 
hivi Mo kawakosea nini haswa wakolomije hadi kumfanyia figisu zote hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…