MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,197
Hali ndani ya Chadema kwa waliomfuata Lowasa imekuwa ngumu baada ya kukiridhisha kuwa chama walichoenda hakina nafasi kwa wageni. Hivyo wamegundua njia muafaka ni kurejea CCM ambako kuna uhuru wa kidemokrasia ikiambatana na fursa tele za kushiriki katika ujenzi wa Taifa.
Kinachowaondoa CDM ni utaratibu wa chama kuwakumbatia wenye nacho badala ya kutoa nafasi sawa kwa wanachama wote kutoa maoni na kushiriki katika kufikia maamuzi yahususiyo maendeleo ya chama.
Ufinyu wa demeokrasia ndani ya CDM unachangia aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga, ndugu Hamisi Mgeja kufikia uamuzi wa kurudi nyumbani, CCM kuliko demokrasia ya uhakika na ushiriki mpana wa wanachama kuchangia maendeleo ya chama.
Wakati wowote Ndugu Mgeja ataita waandishi wa habari na kutangaza kurejea CCM