Hamissa Mobetto aalikwa Marekani na ex wa Rick Ross

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Mwanamitindo Hamissa Mobetto amepata mwaliko wa mwanamitindo kutoka Marekani lira Galore ambaye pia ni ex girlfriend wa msanii Rick Ross
Hata hivyo bado haijafahamika kama safari hiyo itahusisha maswala japokuwa inatabiriwa kuwa linahusiana na mitindo kwa kuwa wote ni wanamitindo
 
Mtoa mada ni mmoja ya washamba wanaodhani kwenda Marekani ni issue ya kila mtu kujua
Hili ni jukwaa la celebrities kwa hiyo kujua mambo wanayoyafanya mastaa ni mahali pake. Ukienda wewe Marekani haiwezi kuwa habari ya kuandika hapa ukubali tu huu ukweli mchungu and sorry for being extremely honesty
 
Una divert hoja mkuu.... Habari yako haijakamilika. Kwahiyo Hamisa akienda USA sisi tufanyaje labda???
Meghan mbona jina tu ukipenda muite mwanao
Ukiniuliza ufanyeje utaonekana hujielewi hivi habari za mastaa unazokutanaga nazo huko mtandaoni huwa unafanyaga nini?

Hili ni jukwaa la celebrities kwa hiyo kujua mambo wanayoyafanya mastaa ni mahali pake. Ukienda wewe Marekani haiwezi kuwa habari ya kuandika hapa ukubali tu huu ukweli mchungu and sorry for being extremely honesty.

Tukiwajibu shit hamchelewi kutuitia moderator hapa
 
Tukiwajibu shit wewe na nani??? Hahahah.... Shit za JF hazijawahi nikimbiza coz unadeal na Meghan na sio mie usonijua.
Issue ni kua habari yako ina-hang it's not about her travelling to the US or me not making headlines if I go....kamilisha habari.
Hilo povu lako kwangu mali mwenzio mie dobi
 
Nadeal na Meghan wewe unadeal na mwembesi one,

Sasa mwembesi one anasema hivi "Post imekamilika hivyo ilivyo whoever aggrieved must appeal to the higher authority"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…