Hamissa Mobetto aalikwa Marekani na ex wa Rick Ross

Anajaribu kuzima vuguvugu lake la uchawi huko instagram!
 
Amealikwa kuhudhuria mkutano wa Ma-gold digger. Huyo Lira Galore si gold digger tu, we Rick Ross vile alivyo unafikiri alimpendea nini?
 
Amealikwa kuhudhuria mkutano wa Ma-gold digger. Huyo Lira Galore si gold digger tu, we Rick Ross vile alivyo unafikiri alimpendea nini?
Childish...mwanaume anapendewa dhakari ikiwa inafanya kazi ...mengine mbwembwe
 
Childish...mwanaume anapendewa dhakari ikiwa inafanya kazi ...mengine mbwembwe

Sasa mtu anapendewa vipi dhakari? Inabidi uzitoe, uziweke mezani demu aziangalie, akizipenda ndio anakuwa mpenzi wako, au?
 
Hamisa ni staa wa nini labda uchawi na kudanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…