Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Jf raha sana aitheee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Una divert hoja mkuu.... Habari yako haijakamilika. Kwahiyo Hamisa akienda USA sisi tufanyaje labda???
Meghan mbona jina tu ukipenda muite mwanao
ha ha hahaSasa mtu anapendewa vipi dhakari? Inabidi uzitoe, uziweke mezani demu aziangalie, akizipenda ndio anakuwa mpenzi wako, au?
sasa wataka afanyaje mkuu " wakati kaenda kujipeleka kwa kungwi la mashangingiIla yule Dada si atamuuza jamani?
sasa wataka afanyaje mkuu " wakati kaenda kujipeleka kwa kungwi la mashangingiIla yule Dada si atamuuza jamani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kuna watu na digrii zetu kibao hata kenya hatujafika tume mind rohoni.. hapa tunazuga tu
akifika airport jk nyerere mumkumbushe hatuwezi kuishi bila yeye
Ai see[emoji23] [emoji15]Nchi hii imebahatika kuwa na ombaomba wawili wenye viwango vya kimataifa,alikuwa bwana Matonya akaaga dunia Mungu akatuletea Hamisa Mobetto.
Wewe ni kachupile mwanamalapulapu know your place!Na Mimi leo naenda Tabora, naomba uwafahamishe wana JF kwa kunianzishia uzi
Star wa nyota hapo je?Mobeto ni star wa nini
Kumbe unajua mbona sasa unaneng'eneka?Hamisa ni staa wa nini labda uchawi na kudanga
No it's yours, right?Kila mtu anakoment kadiri anavyoona inafaa....is that a problem to u??
Watu humu hawajielewi hata nusu mkuu. Yaani mtu hataki post kama hii sasa unajiuliza kwa mtu reasonable anapofungua jukwaa la celebrities anategemea atakutana na habari za kilimo na ufugaji au?celebrity
sɪˈlɛbrɪti/
noun
- a famous person, especially in entertainment or sport.
"he became a sporting celebrity"
synonyms:famous person, VIP, very important person, personality, name, big name, famous name, household name, star, superstar, celebutante, leading light, giant, great, master, guru;More
- the state of being well known.
"his prestige and celebrity grew"
synonyms:fame, prominence, renown, eminence, pre-eminence, importance, stardom, popularity, distinction, greatness, note, notability, prestige, stature, standing, position, rank, repute, reputation, illustriousness, glory, acclaim, influence, account, consequence, visibility
"his prestige and celebrity grew"
Kwahio wanaohoji so what au hakuna ajabu au tufanye nini labda wameconfuse defition ya celebrity na ushauri /achievements/amazing au extraordinary
Wabongo wanavamiaga page kama siafu..teh nmekumbuka walivovamia page ya tecno alivompost post lulu, alipata R.I.P za kutosha hadi alifuta picha zakeWABONGO KONYO!
wameenda kwa lira chaaaaaaaaaaamba chamba!
DADA KAONA ENH!
kafuta post!
Huu ujinga pelekeni instaKumbe unajua mbona sasa unaneng'eneka?
Siyo tuulete nyumbani kwako mkuu?Huu ujinga pelekeni insta
Kweli? Let me check....Nasikia huyo Lira kafuta hiyo post ya Hamisa aka (Mchawi karaba) [emoji23][emoji23] sasa sidhani kama ataenda tena