Hamjaacha tu kupondana vyuo mnavyosoma?

Hajulikani

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
273
Reaction score
249
Tangu nilipoanza chuo mwaka 2009 nilipenda sana kufatilia jf hasa jukwaa la elimu, kilichokua kinanivutia ni post zakponda vyuo, wkt mwngne nilikua napoteza muda mwingi kuchangia kwenye hizi hoja, wkt namaliza chuo mwaka 2012 ndipo nilipogundua post hizi zilikua za kitoto na nikaacha kabisa kufungua hili jukwaa, leo hii narudi nakuta mambo ni yale yale
ooh udsm bora , oh mzumbe bora, oh saut bora... sasa ingia huku duniani upambane ndo ujue kp bora

acheni utoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…