Hamjambo mabinamu na wapwaz!

Hamjambo mabinamu na wapwaz!

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
Nitangulize shukrani kwa mwenyezi mungu kutuweka hai; nilipotelea maporini na miji mbalimbali ya nchini na kwa majirani zetu wa afrika mashariki! Niliwamiss kiukweli na ninafuraha nimerejea salama!

Mungu awabariki
 
karibu tena tulikumiss hapa,bora hukumezwa na pori umerudi salama
 
Back
Top Bottom