Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Mar 10, 2011 #1 Nitangulize shukrani kwa mwenyezi mungu kutuweka hai; nilipotelea maporini na miji mbalimbali ya nchini na kwa majirani zetu wa afrika mashariki! Niliwamiss kiukweli na ninafuraha nimerejea salama! Mungu awabariki
Nitangulize shukrani kwa mwenyezi mungu kutuweka hai; nilipotelea maporini na miji mbalimbali ya nchini na kwa majirani zetu wa afrika mashariki! Niliwamiss kiukweli na ninafuraha nimerejea salama! Mungu awabariki
WiseLady JF-Expert Member Joined Jan 22, 2010 Posts 3,268 Reaction score 531 Mar 10, 2011 #3 karibu tena tulikumiss hapa,bora hukumezwa na pori umerudi salama
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,092 Mar 10, 2011 #4 Hommie Karibu Tena
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,092 Mar 10, 2011 #5 WiseLady said: karibu tena tulikumiss hapa,hope umekuja na zawadi Click to expand... :wink2::wink2:
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Mar 10, 2011 #6 ayaaaa.....wewee....:hug: