hamjambo, nawasalimu wadau..mdau mpya!

hamjambo, nawasalimu wadau..mdau mpya!

asante sana mkuu Globu, unajua mie nimekuwa 'natembelea' humu jamvini tangu 2011, lakini leo nikaamua kujiunga JF, mie pia napatikana kule kwenye SKYSCRAPERCITY..ingawa pia bado ni "junior". Mkuu watu 8 nakushukuru pia kwa kunikaribisha
 
usijali mkuu...

Unatumia kinywaji gani? Kuna maji ya uhai, sparkling, flavoured and the like. Kuna kahawa, chai, thoda. Vile vinywaji vingine kama chimpumu, gongo na kibuku hatukupi hadi supu ya mapupu iive.
 
asanteni king'asti & Dr.Zero, kuhusu supu umenikumbusha handeni, mbuzi wengi sana kwa hivyo supu ni kama kawa..maeneo ya CHANIKA, MKATA, KABUKU, MISIMA, KILINDI.e.t.c
>Maisha yana mambo mengi, kutembea ndo kujifunza, ni kweli: "to be a man is not a day's job"
Asanteni sana!:becky:
 
Ulimakafu asante, hilo jina lako ni kama lina uhusiano na sehemu fulani huko Tabora!
Wenyewe wanamaanisha kwamba eneo hilo wanalima sana viazi! duuh, je ni kweli?:confused2:
 
"A successful man is one who can lay a firm foundationwith the bricks others have thrown at him"
 
Back
Top Bottom