Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndio kajitambulisha hivyo! Kila mtu ana namna yake ya kujitambulisha - mwingine anapunga mkono tu (km Narumba), mwingine anakuja na mistari, mwingine anaingia na hoja moja kwa moja, ili mradi wajiunge na Great Thinkers!Hivyo umejitambulisha au basi tu umeamua kutuzingua? watumie hao wapenzi wako sms.
Kama una maana wana JF na uwe be specific . Vinginevyo nawe hujambo popote ulipo?
salamu nyingi ziwafikie popote mlipo
ahsanteni kwa kunikaribisha.