Hamjambo ?

Hamjambo ?

Umba Tuku

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2017
Posts
2,101
Reaction score
1,271
Wana jukwaa hamjambo ?

Jaman mimi mgen hum ndani natumaini mtanipa taratibu za hum jukwaani

nini napaswa kukisema na nini sipaswi kukisema

Asanteni wote natumai niko kwenye mikono salama
 
ni marufuku kutukana kama maada ikikushinda unakaa kimya tofauti na hivyo tunakujadili

Sawa sintatukana lakini matusi humu jukwaani ni yapi haswa ?
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Wana jukwaa hamjambo ?

Jaman mimi mgen hum ndani natumaini mtanipa taratibu za hum jukwaani

nini napaswa kukisema na nini sipaswi kukisema

Asanteni wote natumai niko kwenye mikono salama
Mtu akikufuata pm (private message) mkiongea mazungumzo yenu usilete jukwaani, ni kosa.

Kuleta habari usiyo na uhakika nayo ni kosa.

Kuandika kama upo FB siyo kosa ila utatukera wengi wetu.

Pia tuma picha yako.
 
Wana jukwaa hamjambo ?

Jaman mimi mgen hum ndani natumaini mtanipa taratibu za hum jukwaani

nini napaswa kukisema na nini sipaswi kukisema

Asanteni wote natumai niko kwenye mikono salama
Una miaka mingapi,maana watoto wanatusumbua humu
 
Back
Top Bottom