Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Ndoa zimekuwa ngumu waume Na wake Wema wanapatikana kwa shida sana.Sasa kwanini humu mtu asiseme natafuta mtu ambaye ana kwake lakini angalau awe anakuja kunitimizia mahitaji ya kindoa japo hatujaoana.Kila mtu anataka mume au mke permanent why? Wekeni thread hata Za kutafuta mchepuko tu.Maana huku mtaani tunaona watu hawana waume lakini Wana watu angalau wa kuwakuna unyevu unyevu ukieazidi