Hamna kitu hauwezi kujifunza kwa teknolojia tuliofikia

Hamna kitu hauwezi kujifunza kwa teknolojia tuliofikia

Shinji_

Member
Joined
Sep 30, 2020
Posts
16
Reaction score
25
Kubali ama ukatae kunajambo ulisha wahi kulipia ili mtu mwingine akusaidie ukaona kabisa hapo umepigwa na kitu kizito kichwani.😭

Namaanisha ungetuliza tu kichwa mwenyewe na ukajifunza tena kwa dakika tano tu, ungeweza kukifanya hicho ulicholipia elfu 30, mtu mwingine akusaidie tena chepesi tu istoshe anajifunza mbeleyako au anatoka kidogo ana angalia video youtube📳, Alafu anakuvimbia anajua. 😂😂

Any way ni swala la mda tu. Duniani tuna pita ila sio kila kitu kitupitie

Haya leo unakuta mtu anakuuzia flash 60,000/- 128Gb , halafu njemba inasema ndio bei ya mwisho wakati imenunua elf 8 au 9 kikuu, alibaba au aliexpress .
Ila ndio hivyo pata shida mwenzako afaidike

niko online hapa naangalia unafikiria nini na unaanza lini kutokua tegemezi [me and you included 😇]
 
Back
Top Bottom