Hamna ....mapenzi...siku hizi....

Kowan

Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
62
Reaction score
1
.....MAPENZI YAMEJAA UNAFIKI....
.....wanawake wamejaa pepo la mali,fedha,starehe,anasa,nk
.....wanaume wamejaa pepo la tamaaa(kupenda vi teen age),vileo,ufisadi na rushwa ili kutimiza haja za mwanamke mwizi..

HABARI NDIO HIYO.... HATA HAPA JF TUMEJAA UNAFKI TU.
 
Fafanua!
 
Kweli,unafikiri nini kifanyike Kowan? :washing:
 

Kwa hiyo wewe uko wapi hapo kwenye hizo bluu
 
daahhh
alie kuudhi leo
embu mleta hapa
nimchape kidogo mmhh..

dahhh
yaani kakufanya mpaka
ujitukane mwenyewe duuhh
 
kweli kabisa na ni mwiko katika mapenzi kuweka silaha chini ukadhania mapigano yamemalizika.
 
toa suluhisho sasa kama kumejaa unafiki na uzandiki, mbona bado upo??????
 
toa suluhisho sasa kama kumejaa unafiki na uzandiki, mbona bado upo??????
afanyeje wakati ni system at work?
so unakataa kuwa hamna uzandiki na unafiki? dear kuwa mkweli
 





Hapa nahisi tunahitaji msaada wa Mngoni..
 
afanyeje wakati ni system at work?
so unakataa kuwa hamna uzandiki na unafiki? dear kuwa mkweli

Dear unajua tatizo la mtu ni vile anavolichukulia kuwa ni tatizo, haya ndiyp maisha tuliyonayo, huwezi kuyakwepa, iwe ni ofisini au majumbani tulikopanga hakuna penye afadhali, na biblia inasema hivi kila palipo na dhihirisho la watu 10 hapo lazima pepo mchafu yupo.

hata kama tukikwazana ukinatungia thread mpya, mm hainijalishi, hainitishi, wala hainibabaishi kwa kuwa hakuna mwanadamu anayeweza kukufurahisha hata siku moja!!! cha msingi mtu atizame maisha yake na Mungu wake tu, inatosha.
 
Thread kama hizi huwa zinaudhi sana mtu anaanzisha kuwatega watu halafu anaingia mitini watu wasipochangia kelele kibao
 


Nina shaka na yeye, nadhani hana jinsia yoyote kati ya hizo mbili.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…