Nimezunguka kwenye websites nyingi za kibongo hamna hata moja yenye listi ya wabunge wateule waliotangazwa rasmi(zaidi ya nusu sasa) na jumla ya kura za uraisi nazo pia zaidi ya nusu zimetangazwa.Nisaidieni naweza zipata wapi?
JF tu, ingawa sometimes kuna wajinga flani wanaingiza ubwege kwa kutoa habari za kizushi ila bado JF ndo sehemu ya uhakika kwa kupata habari za kweli na kwa haraka