Tetesi: Hamonaizi & Shishi Beibi kutumbuiza Umoja wa Mataifa?

Tetesi: Hamonaizi & Shishi Beibi kutumbuiza Umoja wa Mataifa?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Heshima mbele, nimepata tetezi kuwa wasanii hawa nguli Barani Afrika wamealikwa kutumbuiza katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko New York, Marekani.

Kama ni kweli nawapongeza mno vijana hawa kwa mafanikio makubwa waliyofikia kwa kutambulika kimataifa. Tanzania tunapaa kimataifa huku timu ya Taifa imetwaa kombe la CECAFA huku Olimpiki tumeng'ara sasa ni zamu ya Muziki wetu kupaa kimataifa.
 
Duuh wabongo tunazidi kupanda chati kimataifa asee. maana hiyo ndo tiketi ya kujulikana duniani pia kupata Good Will Ambassador kwenye mashirika ya UN kama UNHCR, UNICEF, UNESCO nk. Hongereni wapendwa.
 
Heshima mbele, nimepata tetezi kuwa wasanii hawa nguli Barani Afrika wamealikwa kutumbuiza katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko New York, Marekani. Kama ni kweli nawapongeza mno vijana hawa kwa mafanikio makubwa waliyofikia kwa kutambulika kimataifa. Tanzania tunapaa kimataifa huku timu ya Taifa imetwaa kombe la CECAFA huku Olimpiki tumeng'ara sasa ni zamu ya Muziki wetu kupaa kimataifa.

Hapo kwenye Red sijaelewa mkuu
 
Safi sana Watanzania tunatembea kifua mbele.
 
Asiende tu kucheza uchi huko kama kweli kaalikwa. Hii ndio nafasi ya yeye kuvaa na kutangaza uvaaji wa mwanamke wa kibantu... Sio kumuiga Beyonce
 
Umoja wa Mataifa! Au wanafanya remix ya wimbo wa Pepe Kale ''Young Africa'' Umoja wa Mataifa
 
Heshima mbele, nimepata tetezi kuwa wasanii hawa nguli Barani Afrika wamealikwa kutumbuiza katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko New York, Marekani. Kama ni kweli nawapongeza mno vijana hawa kwa mafanikio makubwa waliyofikia kwa kutambulika kimataifa. Tanzania tunapaa kimataifa huku timu ya Taifa imetwaa kombe la CECAFA huku Olimpiki tumeng'ara sasa ni zamu ya Muziki wetu kupaa kimataifa.
Hivi kwenye Olympic Tanzania imepata medali ngapi?
 
Back
Top Bottom