Hamorapa: Dudubaya anafanyiwa mchezo mchafu, asinitishie maguvu yake, nitamroga.

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506


Msanii Harmorapa amefunguka na kuingilia ishu ya Dudu Baya kuwataja mashoga katika mitandao ya kijamii.

Harmorapa anasema kuwa kama Dudu baya anajifanya kupambana na Mange kimambi baada ya kuambiwa kuwa aache kutaja watu wanaojihusisha na tabia hizo, Harmorapa anasema kuwa hata yeye ana uwezo wa kuwataja wale wote wenye mahusiano haramu na Dudu baya kwa sababu hata yeye anajua kuwa Dudubaya amekuwa akifanya mchezo huo mchafu.

Harmorapa anasema kuwa hamuogopi kabisa Dudu baya na kwamba kama anajifanya kumtishia kutokana na mwili wake basi na yeye ana nguvu za kishirikina kwa hiyo ana uwezo wa kumloga kwa sababu metoka huko umakondeni kijijini hivyo yuko vizuri.

Dudu baya aliwahi kutangaza katika mitandao ya kijamii kuwa Harmorapa ni kuwadi wa wasanii.
Jambo ambalo Hamorapa pia amelithibitisha.

Harmorapa ameenda mbali zaidi na kumshangaa Dudu baya kwa kuwa anajibizana na mtoto wa kike(Mange Kimambi) katika mitandao ya kijamii tabia ambazo hufanywa watu wenye tabia za kike.

"Tabia ya kubishana na wanawake hizo ni tabia za wanaume wanaofokonyolewa, na kwa ubabe na nguvu utanishinda lakini mimi mchawi baba, nitakuloga nimetoka mtwara mbali mbali sana." Alisema Hamorapa.
 
Duh kwa hali ya uchumi ya mtanzania kwa sasa haya tungeyapumzisha kidogo tukajadili yenye faida kubwa kwa sasa
 
hamorapa mzee wa mwendokasi alitoka nduki siku ile nape atishiwe bastora na baunsa wa bashite
 
Bado kidogo na baba yake dr Shika ataibuka
 
Anatafuta kutandikwa makofi.
 
Nilipoanza kusoma hii thread ilibidi nirudi kusoma tena aliyeipost kama sio "msaga sumu"

Mkuu una multiple id?? Au msaga sumu amekuhack
 
Mr Konki konki konki inabidi atoe singo tucheze sengeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…