Hamorapa na P Majani ndani ya FNL, Majani amshauri Harmorapa kubadili jina anampa kiki Harmonize

Kasemaje mi bando halitoshi siwezi fungus video 1000 mb 200
 
Diamond ni Mfano wa kuigwa
kiukweli Huyu mtu huwa na Busara nyingi kwenye Mahojiano yake na Media,
kwanza hajioni, hanati nati kama mbana pua,
Hujitahidi sana kuto toa kauli tatanishi hata kwa yule anaye Mtusi hovyo.

Juhudi,Maarifa,na Nidhamu ndio Kitu pekee kinacho mtofautisha Diamond na wasanii wengine.
Mwenyezi Mungu azidi kumpa Mafanikio zaidi.
 
Mkongwe katika gemu ya Bongo fleva P Funk amedai Harmo rapa ana kipaji na ni msikivu anayetaka kusonga mbelekimuziki na sio kikikama wasanii wengine, amedai kwa sasa amekuwa msanii mkubwa na anampa kiki za bure Harmonize hivyo anatakiwa kubadili jina

 
mbona kila siku hamo rapa hamorapa! sisikii nyimbo zake!
Sasa si afanye mziki tumsikie tuchuje tuona nani anatafuta kiki
Yaani pfunk amekuwa wa kuongea pumba hivi!
 
mbona kila siku hamo rapa hamorapa! sisikii nyimbo zake!
Sasa si afanye mziki tumsikie tuchuje tuona nani anatafuta kiki
Yaani pfunk amekuwa wa kuongea pumba hivi!
Nenda YouTube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…