T tinkibiruka mhaya JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 929 Reaction score 794 Mar 13, 2017 #61 Hance Mtanashati said: Ndio maana namkubali diamond platinum hana nyodo tofauti na kibakuli Kibakuli ana nyodo kisheenzi na alidhihirisha hilo kwa kumfungia vioo harmorapa kule airport mpaka harmorapa wa watu akampigia magoti kiba Click to expand... Yaan nimependa sana alivyozubgumza diamond kuhusu harmorapa sasa kazi kwake kuchagua kipi chema kwake aliyehisi atamsaidia kamtolea nje kwa aibu aliyejenga nae bifu yeye wala hana noma
Hance Mtanashati said: Ndio maana namkubali diamond platinum hana nyodo tofauti na kibakuli Kibakuli ana nyodo kisheenzi na alidhihirisha hilo kwa kumfungia vioo harmorapa kule airport mpaka harmorapa wa watu akampigia magoti kiba Click to expand... Yaan nimependa sana alivyozubgumza diamond kuhusu harmorapa sasa kazi kwake kuchagua kipi chema kwake aliyehisi atamsaidia kamtolea nje kwa aibu aliyejenga nae bifu yeye wala hana noma
pumzihaiuzwi JF-Expert Member Joined Mar 27, 2015 Posts 3,273 Reaction score 3,083 Mar 13, 2017 #62 Zama za majani zilikwisha kitambo naona mnajaribu kufananisha msalaba na jumlisha na hilo jitu la kale
Zama za majani zilikwisha kitambo naona mnajaribu kufananisha msalaba na jumlisha na hilo jitu la kale