University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Nadhani mikosi imeanza ulivyohama WBC.View attachment 1177948
Huyo Bibi Nandi sipendezwi nae sijui kwanini.Nandy hicho kifuti/kipepsi mkorogo uligoma
Ndiyo mkuu Ndiyo Habari inayotrend kwa sasa.Kwani kashahama WCB
Sisani Kama kiakili yupo vizuri kwa Sasa harmo nimepitia insta yake nimekuta anatukanwa matusi makubwa na mashabiki wa wcb ukichanganya na hiz tetesi ndo kabisa ili awe salama ajibu hiz tetesi cos kashapoteza uwaminifu kwa mashabiki wa wasafi.Ndiyo mkuu Ndiyo Habari inayotrend kwa sasa.
Mlikuwa mnawanga wote Nini?Wachawi tale na fella wameshafanya yao
Mlikuwa mnawanga wote Nini?
Ukute ni nyimbo mpya inaitwa visa 😩
Masuala ya visa hayana uchawi, ndio umuhimu wa kuwa na menejimenti makini muuone.Wachawi tale na fella wameshafanya yao
Nandy amehama WCB?Nadhani mikosi imeanza ulivyohama WBC.View attachment 1177948
Hakuwahi kuwa WBC na hatowahi kuhusu WBC namzungumzia Hamornize ndiyo aliyekuwepo WBC label.Nandy amehama WCB?
Huu ni ugomvi unautafuta wewe.Je, Ali Kiba amepata VISA?
umewaza mbali aisee, humo humo jamaa akiachia ngoma ya VISA atatisha balaa.