Viongozi wa CHADEMA wote walikuwa mahabusu sasa wanahaha kusingizia CHADEMA wakati hata hawakuwepo.
Vijana wamefanya maandamano kutokana na hasira zao. Heche hakuwa hata na simu, Lissu hakuwa hata na simu. Wizi wa kura na kufanya mambo fake ni matatizo yenu sio Heche
Ni CHADEMA ndiyo wamesababisha yote haya. Kuhusu wageni, mheshimiwa alipitiwa tu bahati mbaya na usingizi wakati anatamka.Heeeeeh! Sio wageni wa nchi jirani tenaπββοΈπββοΈπββοΈ
Ila kama ni zile zile akili zilizoibia kura ndio wanaendelea nazo, basi tena.