Hamtoniona viwanja leo

Hamtoniona viwanja leo

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Nimejifungia zangu ndani natafuna karanga za maganda hapa, nikimaliza napata supu yangu ya sato mzima aliyewekewa viungo vya kila aina.

Baada ya hapo, nitapiga 'wine' yangu taratiibu; sijajua kama baadaye nitashawishika kwenda viwanja.

Mzazi mwenzangu mtarajia amenipa taarifa atakuja kunitembelea mida ya usiku, angalau anipe kampani ya hapa na pale.

Kwa hiyo wananzengo nawapa taarifa, hamtoniona viwanja leo.​
 
Back
Top Bottom