Wandugu kupitia jukwaa hili naomba kuuliza kama hii hali inayojitokeza kwangu ni tatizo au la.. Mm ni mwanamme umr miaka 31 ni kwamba nimekua na takriban miez miwil na zaid bila kua na hamu hata kidogo ya tendo la ndoa..yaan mzuka zero..doro mtalimbo..cjaenda spital bado..nimeanza na jf kwanza..naomba kujua chochote kutoka kwenu.
Kwanza jaribu kubadilisha chakula unachokula,vipo vyakula vinavyoaminika kuongeza nguvu za kiume(aphrodisiac food) ulaji wa chakula cha Karanga haswa wakati wa usiku,matumizi ya Karanga kumeonekana kumsaidia mlaji kuongeza nguvu za kiume,kula samaki kwa wingi especial of see food,punguza kula nyama haswa viungo vya ndani Kama maini,utumbo,figo,ulimi nk kwani huwa na kiasi kikubwa cha rehemu (cholesterol ) ongeza kula matunda kama embe mafuta(avocado )tikiti maji( water Mellon) nyanya,ndizi.usiende kujamiana wakati umeshiba kwani inapunguza mzunguko wa damu kwenye sehemu za Siri,damu nyingi hubakia tumboni kwahali hiyo inafanya uume usipate damu ya kutosha na kusababisha udhaifu wa utendaji kazi wake,basi chakula ikishindikana tutakwenda kwenye hatua nyingine:lock1:Wandugu kupitia jukwaa hili naomba kuuliza kama hii hali inayojitokeza kwangu ni tatizo au la.. Mm ni mwanamme umr miaka 31 ni kwamba nimekua na takriban miez miwil na zaid bila kua na hamu hata kidogo ya tendo la ndoa..yaan mzuka zero..doro mtalimbo..cjaenda spital bado..nimeanza na jf kwanza..naomba kujua chochote kutoka kwenu.
Kula matunda yasiyokuwa na ukakasi na hasa yale yenye umbo la yeti za kiume au pumbu za kiume kama ndizi, parachichi, matikiti maji, papai , juisi ya karoti n.k.
Punguza kula matunda yenye ukakasi kama maembe, mananasi, malimao, machungwa, machenza, nk.
ushauri mzuri, kumbe kuna pu***bu za kike??Kula matunda yasiyokuwa na ukakasi na hasa yale yenye umbo la yeti za kiume au pumbu za kiume kama ndizi, parachichi, matikiti maji, papai , juisi ya karoti n.k.
Punguza kula matunda yenye ukakasi kama maembe, mananasi, malimao, machungwa, machenza, nk.
ushauri mzuri, kumbe kuna pu***bu za kike??
Wandugu kupitia jukwaa hili naomba kuuliza kama hii hali inayojitokeza kwangu ni tatizo au la.. Mm ni mwanamme umr miaka 31 ni kwamba nimekua na takriban miez miwil na zaid bila kua na hamu hata kidogo ya tendo la ndoa..yaan mzuka zero..doro mtalimbo..cjaenda spital bado..nimeanza na jf kwanza..naomba kujua chochote kutoka kwenu.
Mchongoma....!!Chemsha majan ya mchongoma na unywe kila siku asubui na kabla ya kulala.. Matokeo utayaona bada ya wik2 so nice dose