Hamu ya kufanya mapenzi

Hamu ya kufanya mapenzi

dexterous

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
2,037
Reaction score
3,134
Habari za wakati huu ndugu zangu,

Naomba mchango kwa kile ntakchokwenda kukiuliza.Namna yakupata hamu ya kufanya lile tendo (kugegedana)nina mambo yafutayo wataalam najua mpo mnaweza mkanifafanulia.

Kama tunavyofahamu kawaida unapomaliza kufanya lile tendo hamu inakua inapotea kbsa hutaman kuendelea hasa pale unapokua ushapiga magoli ya kutosha au kufikishwa kibo.

Maswali yangu ni kama ifutavyo;

1.Ni mda gani huchukua toka kumwaga mpka mtu kufikia kupata hamu tena kwa pande zte ke na me.

2.Je, unaweza kujizuia pind unapo fikiwa na hamu namaanisha kukaa bila kufanya mapenzi wala kutumia njia zozote (punyeto) bila kupata madhara (kma yapo yataje) yoyote has inapofikia kiwango cha juu kabisa.

3.Je, kati ya mwanamke na mwanaume yupi anaweza kukaa mda mrefu bila kufanya mapenzi

Asante nakaribisha michango yenu kwa ajili ya kujifunza na si vingnevyo wengine ndio hivyo shule za chini ya muembe tulikosa kuhifahamu vyema biolojia.
 
kuna dalili ya point kwenye uzi wako ila mpaka kuelewa yahitaji kutulia acha niangalie itv mkutano wa chadema live labda ukiisha ntapata cha kuchangia hapa
 
Mkuu una maswali ya msingi sana ila kwa mpangilio wako wa maneno na ubananishaji wake unamfanya anaesoma atumie msuli mkubwa sana kuelewa na kama hajala chakula cha mchana ndo kabisaaaaaa.
Anatupilia mbali kuisoma.
Hebu iweke vizuri kwanza umsaidie msomaji na mjibuji wote kwa pamoja.
Hii ni hatari kwa afya ya macho na akili mkuu.
 
Hahahah Asnte mkuu nimesharekbisha tayari nadhani ss itakuwa inaeleweka hapo
 
Back
Top Bottom