Hamu ya kufanya tendo la ndoa imepungua

Hamu ya kufanya tendo la ndoa imepungua

situmai

Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
85
Reaction score
18
nini cha kufanya kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamke.
 
Kuamsha tamaa ya Tendo la ndoa


Tumia Juisi ya Tangawizi nusu kijiko pamoja na yai la kuku wa kienyeji nusu lililo chemshwa na Asali Safi mbichi ya nyuki. Tumia kila siku kwa muda wa mwezi mmoja. Kisha nipe Feedback.@situmai
 
...Fanya mazoezi hasa kukimbia husaidia sana kurudisha libido...anza kukimbia kidogo kidogo kama hujafanya mazoezi kwa muda mrefu. Kila la heri.

nini cha kufanya kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamke.
 
Back
Top Bottom