situmai Member Joined Jun 29, 2012 Posts 85 Reaction score 18 Sep 7, 2012 #1 nini cha kufanya kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamke.
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,357 Reaction score 3,550 Sep 7, 2012 #2 Kunywa maji mengi
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Sep 8, 2012 #3 Kuamsha tamaa ya Tendo la ndoa Tumia Juisi ya Tangawizi nusu kijiko pamoja na yai la kuku wa kienyeji nusu lililo chemshwa na Asali Safi mbichi ya nyuki. Tumia kila siku kwa muda wa mwezi mmoja. Kisha nipe Feedback.@situmai
Kuamsha tamaa ya Tendo la ndoa Tumia Juisi ya Tangawizi nusu kijiko pamoja na yai la kuku wa kienyeji nusu lililo chemshwa na Asali Safi mbichi ya nyuki. Tumia kila siku kwa muda wa mwezi mmoja. Kisha nipe Feedback.@situmai
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Sep 8, 2012 #4 Achana na bia na nyama choma, hamia kwenye vyakula tiba.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Sep 8, 2012 #5 ...Fanya mazoezi hasa kukimbia husaidia sana kurudisha libido...anza kukimbia kidogo kidogo kama hujafanya mazoezi kwa muda mrefu. Kila la heri. situmai said: nini cha kufanya kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamke. Click to expand...
...Fanya mazoezi hasa kukimbia husaidia sana kurudisha libido...anza kukimbia kidogo kidogo kama hujafanya mazoezi kwa muda mrefu. Kila la heri. situmai said: nini cha kufanya kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamke. Click to expand...
health JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 325 Reaction score 39 Sep 10, 2012 #6 Hayo yaliyotajwa hapo juu yakiwa hayakusaidii bado basi tuwasiliane kwa msaada zaidi. healthwealthfirst@gmail.com
Hayo yaliyotajwa hapo juu yakiwa hayakusaidii bado basi tuwasiliane kwa msaada zaidi. healthwealthfirst@gmail.com