Annina
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 437
- 59
Jamani kuna kaka mmoja amekutwa na mtihani mkubwa katika maisha yake baada ya kuugua ugonjwa wa kupooza uliomfanya asiweze hata kuzungumza. Akiwa katika hali hiyo, kwa kuwa hakuwa na mke na tatizo lilikuwa la muda mrefu ilibidi wanafamilia wajipange katika kumhudumia.
Mdogo wa kiume wa mgonjwa akaitwa kutoka kijijini na kupewa jukumu la kumhudumia kaka yake nae akalipokea kwa mikono miwili. Mgonjwa akarudishwa nyumbani kwake akawa anaendelea kupata matibabu na wanafamilia wanakuja kumjulia hali.
Baada ya muda dada mkubwa wa yule mgonjwa ambae alikuwa mara nyingi anashinda pale lakini jioni anarudi kulala kwake, akagundua yule mgonjwa kila anapomuona yule mdogo wake wa kiume anakuwa kama anashtuka na kuonyesha hali ya kumuogopa, yule dada akamuuliza mbona mgonjwa anakuogopa, akasema huwa hapendi kuoga na kwakuwa mimi huwa namuogesha ndio sababu ananiogopa!
Kama ilivyo kawaida ya wanawake, ni wafuatiliaji wazuri wa mambo (hata madogo kiasi gani!) yule dada hakuridhika, akafuatilia, mlinzi akamwambia mgonjwa huwa anatoa sauti za ajabu kila siku usiku, kama vile ana maumivu makali.
Yule dada akalifikisha kwa wanafamilia wengine, wakalijadili, wakashangaa kama mgonjwa huwa anazidiwa au kupatwa na maumivu makali kila siku usiku, kwanini anaemtunza mgonjwa asiwaambie. Wakaamua kufuatilia, siku hiyo wakaa kwa mgonjwa mpaka saa 2 usiku then wakaaga, wakaenda kukaa baa ya jirani wakapanga na mlinzi akisikia hizo sauti awaambie.
Wakaambiwa, walipokuja wakamkuta yule kaka anambaka mgonjwa! wakina dada wakaangusha kilio kikubwa kama kuna msiba, majirani wakakimbilia wakifikiri yule mgonjwa amefariki. Watu wakajaa, police wakaitwa wakamchukua mtuhumiwa.
Najiuliza huyu kijana alikuwa na wazimu? katika hali ya mateso aliyokuwa nayo kaka yake yeye akaona amuongezee kwa kumbaka? alidhani kupooza kumemfanya asitambue anachofanyiwa? mama wa watoto hawa atakuwa katika hali gani? yule mgonjwa akipona patakalika?