GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na msivyo na Akili pengine ndiyo maana hata aliyekuwa Kocha Mkuu wenu Luc Eymael (Raia wa Ubelgiji) alisema (ipo YouTube) kuwa mna Akili kama za Nyani, Mbwa na Sokwe leo mmesahau kuwa ni nyie nyie mlikuwa mnatamba kuwa Uwanja wa Azam Complex una Bahati sana Kwenu na mtautumia kwa Mechi zenu zote za NBC Premier League na CC huku mkiwacheka Simba SC kwa kutokuwa na Bahati nao.
Cha kushangaza Leo baada ya Upuuzi wenu wa Kuroga kulikopitiliza (kwa Makafara makubwa yasiyompendeza Mwenyezi Mungu) huku mkitumia Dawa za Kuongeza Nguvu michezoni kwa Wachezaji kugundulika na kuanza kupokea Vipigo vya maana Viwili mfulilizo (Azam FC na Tabora United FC) ndiyo mnajifanya Kufura (Kukasirika) kuwa mnahujumiwa katika huo Uwanja wa Azam Complex na kwamba hamuutaki tena.
Ila GENTAMYCINE siwashangai sana kwa hii tabia yenu ya Kukurupuka Kimaamuzi kunakotokana na kutokuwa na Akili kunakowasumbua, kwani hata mwaka Jana wakati wa Mzozo wa aliyekuwa Mchezaji wenu Feisal Salum 'Fei Toto ilipogundulika kuwa anahamia Azam FC mlinukuliwa katika Vyombo mbalimbali vya Habari na Mitandao (kupitia Wazee wenu ambao hawajawahi kuwa na Akili) kuwa mtaacha kutizama Azam Tv na hata Kununua Bidhaa za Azam ila cha Kushangaza ni kwamba ukipita katika Vibanda Umiza vyote vya kuonyesha Mpira (hasa Mechi za Ligi Kuu ya NBC) Watu wengi wanaokaa mbele ni wa Klabu yenu ya Vipigo Viwili Mfulilizo FC
Na hata katika Mighahawa mingi tu ya Uswahilini na Mijini Wateja wengi wa kuagiza ama Chapati au Maandazi pamoja na Bidhaa na Huduma nyinginezo za Azam ni wa kutoka Klabu yenu ya Vipigo Viwili FC.
Hamna Akili na hapo mbona bado....!! Msiyempenda / Msiyenipenda ila ni Dawa yenu ya Kuwatibu GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimerejea Jukwaani na kama kawaida mwendo ni ule ule.