Hamuwezi amini leo nimekojoa jiwe

muda huu nimetoka kuchukua majibu

Doctor kaniambia sina U.T.I alichonisisitiza kwa siku niwe nakunywa maji lita tatu angalau
 
Urinary track infection
Ni mawe yanayotoka kwenye kibofu
Ambapo ulikuwa hujatibiwa kwa muda mrefu, mwisho huwa yanafuata mkojo
Huwa watu wanakojoa mawe na kupona kwa tatizo la kuumia na kuto toka mkojo kawaida
Fupisha ilo neno ulilo andka kidhungu. Afu utaona ulikuwa una maanisha nn ndugu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hayo mawe hukuyapiga picha??
 
Nilisikiaga kwa jamaa fulani hivi hilo swala...
sijui linasababishwaje...
Ila mkuu imetoa jiwe na hapaumi kabisa[emoji122] umetisha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sidhani kama kuna shida hapo, au ulishawahi "kuchukua mke/demu wa mtu"? Uko Tanga au mkoa upi?
 
Urinary track infection
Ni mawe yanayotoka kwenye kibofu
Ambapo ulikuwa hujatibiwa kwa muda mrefu, mwisho huwa yanafuata mkojo
Huwa watu wanakojoa mawe na kupona kwa tatizo la kuumia na kuto toka mkojo kawaida
umeniacha hoi "urinary track" hahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…