Hamza aombewa kila kona

Polisi wetu hawana weledi, hawakuwa na sababu ya kumuua mtu aliyejisalimisha!! Walitakiwa wamchukue na kumuhoji na hapo wangejua mengi kuhusu motive yake ilikuwa nini?
Hamza hakujisalimisha, kujisalimisha ni kutupa silaha chini na kunyoosha mikono juu au kushika kichwa Huku umepiga na magoti
 
Hamza hakujisalimisha, kujisalimisha ni kutupa silaha chini na kunyoosha mikono juu au kushika kichwa Huku umepiga na magoti

Angalia ile clip; Hamza alitoka kwenye kile kibanda bila silaha kwenda kujitupa barabarani ndio wakampiga risasi! Alipouawa alikuwa hana silaha mkononi kwani risasi zilimuishia kwenye magazine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…