Hamza Kassongo On Sunday TVE

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
HAMZA KASSONGO ON SUNDAY: MCHAKATO WA UHURU WA TANGANYIKA

Leo Jumapili Hamza Kassongo katika TVE saa tatu usiku anafanya mazungumzo na Mohamed Said kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.

 
mambo hayo yamepitwa na wakati
Panchito...
Yawezekana kwako yakawa yamepitwa na wakati.

Hii December nimefatwa na TV Station 5 wakiniomba mahojiano.

Nikiangalia shajara yangu (diary) imejaa.

Huenda wewe hupendi na ni jambo la kawaida.
Lakini kuna wengi wamechukuliwa na historia hii.

Au unakerwa na historia hii "corrective," iliyosahihisha historia iliyozoeleka?

Waingereza wana msemo one man's meat is another man's poison.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…