Hana hisia kabisa na mke wake wa ndoa

Sawa hampendi, lakini ameshamuoa ana nafasi ya kuokoa penzi lake kwa sasa, atoke nae kwa kujilazimisha hivyohivyo wakafurahie wanachokipenda huenda kikawaunganisha
Naanzajeanzaje hata out yenyewe hiyo? Aisee,mnachukulia simple sana
Kama hujaoa na hajawahi kuipitia hali kama hii tulia tu
Nimeolewa mkuu
 
Naanzajeanzaje hata out yenyewe hiyo? Aisee,mnachukulia simple sana

Nimeolewa mkuu
Naamini ipo siku utaanza kufurahia sana ndoa yako hiyo maana kwa sasa kwa maelezo yako baadhi humu jamii forums yaonekana unapitia changamoto kubwa.

Imani yangu ni hiyo ni kwasababu kwa maelezo yako yanakutafsiri upo halisia sana
 
Mwambie abadili mtazamo, kuwa ametafutiwa mke lipo akilin mwake. Nicheki dm nione jinsi ya kumsaidia. Tatizo lake lipo ktk mtazamo. Mimi ni mshauri nasaha
 
Akubaliane tu na hali ajifunze kuwa karibu sana na Mke wake hii itasaidia kuondoa hiyo changamoto.
 
Jamaa kaishasema hapo juu. Hilo ni jini mahaba. Na ushahidi wake ni jamaa kuota ndoto akilala na mwanamke mwingine.

Mwambie atafute mtumishi wa Mungu amwombee. Lakini pia afunge kwa siku tatu bila kula na aombe.

Yote yatakuwa historia.
 
Naamini ipo siku utaanza kufurahia sana ndoa yako hiyo maana kwa sasa kwa maelezo yako baadhi humu jamii forums yaonekana unapitia changamoto kubwa.

Imani yangu ni hiyo ni kwasababu kwa maelezo yako yanakutafsiri upo halisia sana
Ndo ukweli halisi mkuu
 
Kwahiyo utachukua post zote umpatie azipitie au utamsimulia jinsi tulivyomshauri?
Kwani alishikiwa bunduki wakati wa kufunga ndoa?.
Huyo unayetaka akusababishie furaha angalie usije ukaonjeshwa furaha ya muda mfupi kisha ukala msoto daima.
kama anakupenda na hachepuki hapo sioni tatizo.
 
hapo amechanganya mambo mawili hilo sijui siyo chaguo lake na hayo mambo yakuota usiku kalala na mwanamke mwingine ni dalili jamaa ana majini tena jini mahaba hata akioa wa chaguo lake yatatokea hayo hayo kwakuwa ni muislam afike kwanza kwa viongozi wake wa dini watamtatulia tatizo angekuwa mkristo ningesema aende kwenye makanisa ya maombezi hiyo ni kazi ndogo sana na jini likondolewa atarudisha mapenzi kwa mke wake
 
Jini Mahaba.
Anahitaji Maombezi.
 
Ushauri murua kabisa huu.
 
Huenda akawa na shetan wewe ao huyo mwanamke linamchafua,Ao kinyume chake ww kama una mambo yale ya ujana achana nayo..
Maana vijana wengi anapoingia kwenye ndoa huendeleza uzinifu na wanawake wa pembeni hili huchangia sana kumchukia mkeo wa ndani kumuona wakawaida kutokana na kupata radha tofauti na mkeo....!

Kama huyo anakusokiliza sivyema kumwacha utakuja kuleta mwingine wewe umezama yy hana habari hapo subiri mateso
 

Muache kwanza amtimue huyo. Atakapooa mke wa jamii ndo atajua uzuri wa mke mtulivu. Kuna wakati tunakaa na kuangalia future zaidi.

Familia inasimamiwa na wanawake, sisi wanaume hiyo kazi hatuiwezi na karne hii, ukimpata mwanamke anaeleweka ni suala la kushukuru. Huyo ndugu yako atapata faraha ya muda mfupi tu akimtimua na kumchukua mwingine ila baadae atamtamani huyu wa sasa.
 
Habari za mda huu wana jamvi ameniomba nifikishe uzi huu yaezekana akapata suruhisho au ushauri kutoka kwetu kwani hili ni jukwaa muhimu sana katika hili.

Ni mtoto wa mjomba angu ambae ni wakiume.
The same na mimi,ila mie nimeamua kuikubali hii hali na hatushirikiani kwa lolote lile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…