Hance Mtanashati : Birthday loading 06/08

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Mimi HANCE MTANASHATI au wengine wamezoea kuniita baba Tunda Sabasita, siku ya tarehe 06/08 ninatimiza miaka kadhaa hivyo basi nimeona mwaka huu niwaalike kidogo ndugu zangu wa JF kuna kasherehe kidogo nimekiandaa.

Hivyo kwa wale wakazi wa dar na wangependa kujumuika ninawakaribisha kwa moyo mkunjufu .

Ninatoa nafasi kwa watu 20 wa mwanzo ambao watanipm niwape muongozo.

Kuna vitu muhimu sana nimeviandaa na pia mastaa wawili watatu ambao nisingependa kuyaanika majina yao kwa sasa watakuja kujumuika nami.

Karibuni.
 
Dah...cc wengne cjui ni kuzaliwa uswahilini ama ni nn yaani birthday imenipitia kushoto sana tarehe yaweza pita bila kujua!
Mwanaume ni ngumu sana kukumbuka tarehe ya kuzaliwa , ila hawa wabeba nguo kwenye mabegi za kwenda kupigia picha lazima wakumbuke na waziwaze(nadhani ni utoto bado)
 
Mimi HANCE MTANASHATI au wengine wamezoea kuniita baba Tunda Sabasita, siku ya tarehe 06/08 ninatimiza miaka kadhaa hivyo basi nimeona mwaka huu niwaalike kidogo ndugu zangu wa JF kuna kasherehe kidogo nimekiandaa.

Hivyo kwa wale wakazi wa dar na wangependa kujumuika ninawakaribisha kwa moyo mkunjufu .

Ninatoa nafasi kwa watu 20 wa mwanzo ambao watanipm niwape muongozo.

Kuna vitu muhimu sana nimeviandaa na pia mastaa wawili watatu ambao nisingependa kuyaanika majina yao kwa sasa watakuja kujumuika nami.

Karibuni.
Mkuu una kimuhe muhe kama changu ninatimiza miaka kadhaa August ambayo nilikua naitamani sana nifike ha ha ha yaani kila saa naangalia Kalenda naona sikh hazifiki kabisa.
 
August tarehe ngapi?
 
Screenshot_2018-07-09-23-48-36-1.png
 
Back
Top Bottom