Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Dah...cc wengne cjui ni kuzaliwa uswahilini ama ni nn yaani birthday imenipitia kushoto sana tarehe yaweza pita bila kujua!Haya mambo ya birthday muwaachiage Wanawake, Watoto na Wazee.
Na wanaume wa Dar pia!Haya mambo ya birthday muwaachiage Wanawake, Watoto na Wazee.
Mwanaume ni ngumu sana kukumbuka tarehe ya kuzaliwa , ila hawa wabeba nguo kwenye mabegi za kwenda kupigia picha lazima wakumbuke na waziwaze(nadhani ni utoto bado)Dah...cc wengne cjui ni kuzaliwa uswahilini ama ni nn yaani birthday imenipitia kushoto sana tarehe yaweza pita bila kujua!
Nadhani hata mtoa mada ndiko anakotokea.Na wanaume wa Dar pia!
Mkuu una kimuhe muhe kama changu ninatimiza miaka kadhaa August ambayo nilikua naitamani sana nifike ha ha ha yaani kila saa naangalia Kalenda naona sikh hazifiki kabisa.Mimi HANCE MTANASHATI au wengine wamezoea kuniita baba Tunda Sabasita, siku ya tarehe 06/08 ninatimiza miaka kadhaa hivyo basi nimeona mwaka huu niwaalike kidogo ndugu zangu wa JF kuna kasherehe kidogo nimekiandaa.
Hivyo kwa wale wakazi wa dar na wangependa kujumuika ninawakaribisha kwa moyo mkunjufu .
Ninatoa nafasi kwa watu 20 wa mwanzo ambao watanipm niwape muongozo.
Kuna vitu muhimu sana nimeviandaa na pia mastaa wawili watatu ambao nisingependa kuyaanika majina yao kwa sasa watakuja kujumuika nami.
Karibuni.
Tupo pamoja mkuuLol..kumbe wewe ni LeoMate?? nimeshajuaaa...15 August..[HASHTAG]#Leo[/HASHTAG] [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG]!
August tarehe ngapi?Mkuu una kimuhe muhe kama changu ninatimiza miaka kadhaa August ambayo nilikua naitamani sana nifike ha ha ha yaani kila saa naangalia Kalenda naona sikh hazifiki kabisa.
13August tarehe ngapi?
Ha ha haNaweza kukumbuka wiki chache kabla ya hiyo siku, cha ajabu ntakuja kuhamaki zimepita siku mbili au tatu baada ya siku husika.
Ndio ninaishi dar ,shida ni nini?Nadhani hata mtoa mada ndiko anakotokea.