Umejuaje kama hao member ni wanaume?Wasake na pesa pia.
Sio kutwaa kufuatilia maisha ya wanaume wezao.
Maoni yangu yaheshimiwe.
Duh wewe ni pagan au mpaganMapengo yao yanaonekana, so wafumbe midomo!
Swali nzuri sana.
LONDON BOY.Aman iwe juu na chini yenu wakuu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Ingawa huwaga tunawapinga, kuwasimanga na kuwatus na kuwaita majina mabaya lakin nyie ndo wazee ubuyu humu ndani
Kwa ubuyu hamjambo nyie ni super ubuyu
Mkikosaga hata kwa week mbili hili jukwaa huwa linapoa kabisa kama maji yako kwenye mtungi
Endeleen kudondosha ubuyu wala msichoke
Ila sasa warumi punguza code unaua wengine huwa tunatoka kapa kitendo kinachofanya had tumsubili mtaram wa code Numbisa atokee
Aman kwao watu hawa
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kwahiyo kumbe kule ndo kuna watu wana masters zaoWamama wa ma code wapo insta,kuna code ngumu kule
Write your reply...sasa warumi kila ubuyu lazima atachomekea kuwa muhusika ni Shoga ikiwa atakuwa wa kiume
AmeeenAman iwe juu na chini yenu wakuu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Ingawa huwaga tunawapinga, kuwasimanga na kuwatus na kuwaita majina mabaya lakin nyie ndo wazee ubuyu humu ndani
Kwa ubuyu hamjambo nyie ni super ubuyu
Mkikosaga hata kwa week mbili hili jukwaa huwa linapoa kabisa kama maji yako kwenye mtungi
Endeleen kudondosha ubuyu wala msichoke
Ila sasa warumi punguza code unaua wengine huwa tunatoka kapa kitendo kinachofanya had tumsubili mtaram wa code Numbisa atokee
Aman kwao watu hawa
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeWasake na pesa pia.
Sio kutwaa kufuatilia maisha ya wanaume wezao.
Maoni yangu yaheshimiwe.