Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Mzee umekuwa winga kisheti aka muongo muongo, unatema mate kulia unafukia kushoto😅 mzee wa raba. Sahani, juzi fundi radio call, leo mambo ya handbag 👍 big up.Nina imani tu sote wazima
Kama ilivyo ada, kijana wenu nimepata fursa kwa bos wangu... huu uzi maalum kwa ajili ya handbags (pochi) za kina dada. Duka lipo kariakoo mtaa wa Aggrey na Kongo
Huu uzi nautumia kutoa updates na kazi mpya zitakazokuwepo dukani.
Delivery services (dsm only 5000tsh) ✅️
Quality (100%)✅️
Feedback after services (allowed)✅️
Mawasiliano
Jamii forum: kalaga baho Nongwa (dm)
Piga : 0628731833 (wasap)
We always open.
🔥🔥
Amnaa sio winga mkuu bei ya winga sijaweka hapo fatilia nyuzi zangu huko nyuma. Kuna bos kanipa shavu nisukjme hiz na next week naacha nyuzi za hovyo kwa hovyo. Soon nitaanza kuweka kila kitu hapahpa. Stay hereMzee umekuwa winga kisheti aka muongo muongo, unatema mate kulia unafukia kushoto😅 mzee wa raba. Sahani, juzi fundi radio call, leo mambo ya handbag 👍 big up.
Nimemaanisha winga mchezaji sio winga dalali.Amnaa sio winga mkuu bei ya winga sijaweka hapo fatilia nyuzi zangu huko nyuma. Kuna bos kanipa shavu nisukjme hiz na next week naacha nyuzi za hovyo kwa hovyo. Soon nitaanza kuweka kila kitu hapahpa. Stay here
Pia nitahitaji mawinga tusaidiane kupush hili huko mitaani.
Nitapendelea sana majobless, na wanafunzi wa chuo ili wapate kujisogeza sogeza kidogo
Hili sina utaalam nalo mkuu. Labda unielekeze hapaUwe unainsert hizi picture mkuu ili iwe rahisi kuonekana