Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Chadema ikiongozwa na Freeman Mbowe imeingia Kwa Msisi, eneo ambalo viongozi wa ccm wanaogopa kwenda kutokana na dhuluma walizowafanyia wananchi wa huko kwa muda mrefu (wanaogopa kulogwa)
Chadema imefika na kupokelewa na Wananchi kwa shangwe kuu, jambo lililomfanya Mkuu wa Wilaya hiyo Bwana Albert Msando kuona wivu na kujitosa kwenye mkutano huo
Chadema imefika na kupokelewa na Wananchi kwa shangwe kuu, jambo lililomfanya Mkuu wa Wilaya hiyo Bwana Albert Msando kuona wivu na kujitosa kwenye mkutano huo