Pre GE2025 Handeni: DC Msando aamuru mwandishi wa habari kukamatwa na kazi zake kufutwa kwenye camera

Pre GE2025 Handeni: DC Msando aamuru mwandishi wa habari kukamatwa na kazi zake kufutwa kwenye camera

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando, ameagiza Mwandishi wa Habari wa ITV kukamatwa na kuamuru kufutwa kwa kazi zote zilizokuwa zimerekodiwa na Mwandishi huyo ambaye Alikuwa anafuatitilia Sakata la Madereva wa Malori ya mchanga kugoma, kwa kile kinachodaiwa kutozwa ushuru mkubwa na Halmashauri ya Mji wa Handeni.

 
Kaka mkubwa kaniangusha hapa, hivi wameshindwa kujua kabisa kuwa kwa dunia ya sasa hivi backup zipo online kufuta kwenye camera haisaidii kitu.
 
Back
Top Bottom