Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kaanza na kipaumbele cha tezi dume. Subiri tuone kipaumbele cha pili kitakuwa ni nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mh Albert Msando amehamasisha wanaume wa Handeni kupima Tezi dume kwa hiyari.
Bado haijafahamika sababu ya msingi ya DC huyu kuanza na kipaumbele hiki katikati ya changamoto zote.
Ngoja tuone kitakachofuata.
Lissu ameanza kwa kupeleka nguo kwa wazee wakafanye matambiko ya kishirikinaMkuu wa Wilaya ya Handeni, Mh Albert Msando amehamasisha wanaume wa Handeni kupima Tezi dume kwa hiyari.
Bado haijafahamika sababu ya msingi ya DC huyu kuanza na kipaumbele hiki katikati ya changamoto zote.
Ngoja tuone kitakachofuata.
Yule RC alisema atawasaka kitanda kwa kitanda kuanzia Kivukoni hadi Kibamba kuanzia Bunju hadi Mbagala na Msasani hadi Kitunda.Bado haijafahamika sababu ya msingi ya DC huyu kuanza na kipaumbele hiki katikati ya changamoto zote.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hilo Ndiyo Tatizo Kubwa Handeni, Hawa Viongozi Wana Tatizo Gani Jamani