Handeni wanakosa soko la mihogo yao

Mwanzo mihogo ilikuwa zaidi inalimwa Kwamsisi lakini sasa imelimwa sana huko. Kuna uhusiano gani wa kuwa na acc ya bank ya nmb na soko la mihogo? taarifa zaidi please!
Swali zuri

Ova
 
Mbona nahitaji mihogo nanimekosa..tatizo madalali wanatupatia bei ya juu zaidi ya uhalisia..mfanyabiashara wa mihogo aje PM mimi nafanyia biashara Kigali.
 
Mwanzo mihogo ilikuwa zaidi inalimwa Kwamsisi lakini sasa imelimwa sana huko. Kuna uhusiano gani wa kuwa na acc ya bank ya nmb na soko la mihogo? taarifa zaidi please!
Nilijaribu kumuuliza hakunipa Jibu lolote la maana alikuwa anasisitiza kuwezeshwa Mikopo tu.
 
Mbona mihogo mikavu inadili hata huku mbeya maana watu wanakula sana CD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…