Baada ya Handeni kuhamasika na kulima zaidi mihogo badala ya mahindi waliyoyazoea kama zao la biashara na chakula sasa soko linawapiga Cheng's ya mwili. Baada ya mafanikio ya wakulima wa kijiji cha Kwamsisi kupitia mihogo na wengine kuiga sasa ni kilio chao ni wapi waipeleke mihongo yao.